Ni hali maalum ya kutazama na kufanya kazi kwenye chati. Kwenye Pro mode watumiaji wanapata nafasi ya kuzifikia zana bora zaidi za kuuza na kununua sarafu mtandaoni:
- Viashiria vya biashara ya kuuza na kununua hisa na sarafu — zana za uchanganuzi kulingana na kanuni za biashara zinazoaminika vyema ambazo husaidia kuchanganua mienendo ya sasa ya taarifa na kutabiri mabadiliko na mwenendo wa soko.
- Zana za kurekebisha chati. Unaweza kurekodi nadharia na utabiri wako kwa kuacha maandishi na vidokezo vya picha moja kwa moja kwenye chati.
- Kimshale cha crosshair — hukuruhusu kuweka kimshale kwa usahihi zaidi kwenye eneo linalokuvutia na kupata maelezo zaidi kuhusu muda na mabadiliko ya bei.
- Kitufe cha "Shirikisha wengine" hukuruhusu kutoa mawazo na fikra zako kwenye mitandao ya kijamii.
Watumiaji wa Premium hawana ukomo kwenye Pro mode. Wengineo wanatakiwa kutazama video fupi ili kupata ruhusa.
Comments
0 comments
Please sign in to leave a comment.