Mambo ya msingi ya Forex Royale

Nini maana ya Forex Royale?

Forex Royale ni programu ya kuuza na kununua sarafu mtandaoni ikiwa na vitu vya gemu na shindano....

Programu ya kuuza na kununua sarafu mtandaoni ni nini?

Mfumo wa biashara ni app au programu ya kompyuta ambayo huzalisha tena tabia na vipengele vya s...

Forex Royale ni kwa ajili ya nani?

Forex Royale ni ya mtu yeyote ambaye anavutiwa na soko la ubadilishaji, cryptocurrency, na biasha...

Unaweza kuuza na kununua nini kwenye Forex Royale?

Kwenye Forex Royale unaweza kufanya biashara za aina mbalimbali za sarafu ya crypto- na fiat, pam...

Mbinu za kufanya biashara: je, mimi ni Fahali au Dubu?

Unapoanza tu kuingia kutumia programu ya Forex Royale itabidi uchague aina ya mkakati wako. Kuna ...

Forex Royale ni salama?

App yetu ni salama kabisa. Taarifa zote za watumiaji zinatunzwa kwenye seva yenye ulinzi mkubwa s...
See all 7 articles

Taarifa za akaunti na mipangilio

Ninajisajili vipi?

Unaweza kujisajili kupitia Google au kwa kutumia barua pepe yako. Baada ya usajili kila mtumiaji ...

Ninawezaje kubadili neno la siri kwenye akaunti yangu ya Forex Royale?

Fuata hatua hizi ili kubadili neno lako la siri: Fungua app. Bonyeza "Nimesahau neno la siri" kw...

Ninaweza kutengeneza akaunti ngapi?

Unaweza kutengeneza akaunti nyingi kadri utakavyo.

Ninafutaje akaunti yangu?

Ili kufuta akaunti yako, tafadhali wasiliana nasi kupitia: edusystemshelp@gmail.com.

Biashara ya kuuza na kununua hisa na sarafu mtandaoni

Unanunuaje na kuuzaje?

1.  Chagua jozi ya sarafu za crypto unayotaka kufanyia biashara. 2. Kama unafikiri bei ya crypto...

Oda ni nini?

Oda huwekwa mtandaoni kupitia jukwaa la biashara au wakala. Ili kununua au kuuza mfanyabiashara w...

Spread ni nini?

Kitaalamu, spread ni tofauti kati ya bei ya kununua (ofa) na bei ya kuuza (zabuni) iliyopo kwa aj...

Pro mode

Ni hali maalum ya kutazama na kufanya kazi kwenye chati. Kwenye Pro mode watumiaji wanapata nafas...

Nini maana ya Sitisha Hasara na Chukua Faida?

Chukua Faida (TP) — ni sehemu ya usalama ambayo haitakuruhusu kukosa faida uliyopanga kuipata. Il...

Ni kwanini biashara yangu ya kuuza na kununua sarafu imefungwa kiotomatiki?

Biashara yako ilifungwa moja kwa moja pengine kwa sababu ulikuwa na kipimo cha Take Profit au Sto...
See all 10 articles

Pesa za kutumia

Nini maana ya pesa za kutumia?

Kama tu ilivyo kwenye mchezo wa Monopoly, kwenye Forex Royale pesa ya kucheza ni rasilimali ya ka...

Ninatoaje pesa za kutumia?

Forex Royale — ni simuladori ya biashara. Hauwezi kuweka pesa wala kutoa kwa sababu siyo pesa hal...

Wapi ninapoweza kuuza na kununua sarafu mtandaoni kwa pesa halisi?

Ikiwa uko tayari kuhamia kutoka kwa biashara ya majaribio kwenda kwa mchezo halisi, unaweza kuanz...

Ukadiriaji

Ni namna gani ukadiriaji unafanyika kwenye app?

Ukadiriaji kwenye app unategemea idadi ya alama alizopata mtumiaji. Wafanyabiashara wenye alama z...

Alama za ukadiriaji zinatolewaje?

Kuna namna nyingi za kukusanya alama kwenye Forex Royale : majukumu ya kila siku; Lucky Spin; ma...

Bonasi, mali ya ndani ya app na gemu la Lucky Spin

Bonasi gani ninazipata kwenye Forex Royale?

Kuna rundo la bonasi unazoweza kupata katika Forex Royale: bonasi ya ukaribisho; bonasi ya usaji...

Ninapataje bonasi ya mualiko?

Unapomualika rafiki yako ajiunge na Forex Royale, wote mnapata bonasi. Fuata hatua hizi ili kupa...

Mali ya kwenye app

Mali ya ndani ya programu ya Forex Royale inajumuisha mali isiyohamishika, aina mbalimbali za usa...

Ninapataje mali za kwenye app?

Kuna njia kadhaa za kupata nyumba mpya, gari, au mapambo ya makazi yako ya mtandaoni: Zinunue kw...

Nini maana ya Lucky Spin?

Lucky Spin ni mchezo mdogo wa ndani ya programu ambapo unaweza kujishindia vitu mbalimbali vya mu...

Jinsi ya Kupata Spins Zaidi Katika Lucky Spin?

Njia rahisi na ya wazi zaidi kupata spins zaidi ni kugonga kitufe cha "Re-spin". Unaweza kirahisi...

Michuano

Nini maana ya michuano?

Michuano ni mashindano kati ya wafanyabiashara wa daraja la juu miongoni mwa wafanyabiashara wali...

Sheria za michuano zipoje?

Lengo la mashindano ni kufanya biashara na kuongeza kiasi cha kuanzia cha pesa taslimu za kucheza...

Ninashiriki vipi kwenye mashindano?

Kama ungependa kushiriki kwenye shindano, nenda kwenye sehemu ya Mashindano na uguse kitufe cha "...

Zawadi za mchuano

🥇Nafasi ya 1: Sarafu 100 + $20,000 za fedha za kucheza + emoticon🥈Nafasi ya 2: Sarafu 50 + $15,00...

Duka la kwenye app

Duka la Forex Royale linafanyaje kazi na ninaweza kununua nini huko?

Forex Royaledukandiyo mahali ambapo unaweza kutumia sarafu zako na hata kutumia pesa za kawaida. ...

Mnada

Sheria za mnada

Kama ulivyo mnada mwingine wowote, mnada wa kwenye Forex Royale una wazabuni wengi na mfumo wa za...

Ninaweza kununua nini kwenye mnada?

Mali za kwenye app, mapambo ya kipekee ya kwenye wasifu au mizunguko kwenye Lucky Spin.

Ninashikiri vipi kwenye mnada?

Kama unataka kushiriki kwenye mnada, nenda kwenye ukurasa mkuu wa app — Lobby kwenye sehemu ya Mn...

Akaunti ya Premium

Faida za akaunti ya Premium ni zipi?

Mpango wa Forex Royale Premium huwapa wachezaji idadi kubwa ya manufaa kama zana za kina za biash...

Maswali mengine yanayoulizwa sana

Ninaondoaje matangazo?

Ili uzime matangazo chagua kutumia akaunti ya Premium.

Ninawezaje kurudishiwa pesa?

Kama wewe au mmoja ya wanafamilia wako mlifanya ununuzi kwa bahati mbaya kwenye programu ya Forex...