Mambo ya msingi

Cryptomania inafanyaje kazi?

Cryptomania ni chanzo cha elimu ya kuuza na kununua hisa na sarafu — programu kwa wale wanaoanza ...

Programu ya kuuza na kununua sarafu mtandaoni ni nini?

Simuleta ya biashara ni programu ya simu au programu ya kompyuta inayojirudia mazingira ya biasha...

Lengo la Cryptomania ni lipi?

Cryptomania ni ya mtu yeyote ambaye anavutiwa na biashara ya cryptocurrency na uwekezaji. Cryptom...

Je, Cryptomania ni salama?

App yetu ni salama kabisa. Taarifa zote za watumiaji zinatunzwa kwenye seva yenye ulinzi mkubwa s...

Je, chati za kwenye app zina uhalisia?

  Chati na thamani zote ni halisi kwa 100%. Cryptomania hutoa thamani za kweli kutoka kwenye mas...

Biashara ya kuuza na kununua hisa na sarafu mtandaoni

Namna ya kununua na kuuza sarafu na hisa kwenye Cryptomania?

Hapa kuna algorithimu ya ulimwengu wote: Chagua sarafu ya kidijitali unayotaka kuifanya biashara...

Nini maana ya oda?

Kwa kawaida, oda huwekwa mtandaoni kupitia jukwaa la biashara au wakala. Ili kununua au kuuza mfa...

Pro mode

Ni Pro mode ya kutazama na kufanya kazi kwenye chati. Kwenye Hali bora zaidi unapata nafasi ya ku...

Nini maana ya Sitisha Hasara na Uchukue Faida?

Sitisha Hasara na Chukua Faida ni zana za kudhibiti hatari zinazoongeza safu ya ziada ya ulinzi k...

Kiwango cha juu cha idadi ya oda zilizo wazi ni kipi?

Idadi ya juu zaidi ya oda unayoweza kuzifungua wakati wowote ni 20 kwa watumiaji walio na akaunti...

Ada ya kuuza na kununua sarafu mtandaoni ni ipi?

Kuna kamisheni wakati oda inapofanyiwa kazi. Majukwaa yote ya kuuzia na kununulia sarafu halisi m...
See all 7 articles

Michuano

Nini maana ya michuano?

Michuano ni mashindano kati ya wafanyabiashara wa daraja la juu miongoni mwa wafanyabiashara wali...

Sheria za michuano zipoje?

Lengo la mashindano ni kufanya biashara na kuongeza kiasi cha kuanzia cha pesa taslimu za kucheza...

Ninashiriki vipi kwenye mashindano?

Mashindano ya kila wiki yapo kwa ajili ya kila mtu! Bofya tu kwenye app, tap the 🏆 icon, na bonye...

Matukio, dondoo za yanayojiri na matangazo

Invest Empire ni nini?

Invest Empire ni shughuli ndani ya programu ambapo unapata fursa ya kuwekeza pesa zako za mchezo...

Jinsi ya Kufanya Pesa Zaidi katika Invest Empire?

Funguo la mafanikio liko katika kuboresha mali zako. Kwa kufanya hivyo, utaweza kuongeza kwa kias...

Kwa nini nahitaji kurekebisha mali yangu?

Unaponunua kipande cha mali ndani ya Invest Empire, moja ya majukumu yako kama rentier ni kudumis...

Mnada

Ninashikiri vipi kwenye mnada?

Ili kushiriki kwenye mnada, nenda kwenye sehemu ya Mnada kutoka kwenye ukurasa mkuu wa programu —...

Sheria za mnada zipoje?

Kama ulivyo mnada mwingine wowote, mnada wa kwenye Cryptomania una wazabuni wengi na mfumo wa zab...

Nini maana ya mnada?

Mnada wa Cryptomania ni tukio la mauzo ambapo washiriki huweka zabuni za ushindani kwenye bidhaa ...

Ninaweza kununua nini kwenye mnada?

Katika mnada, unaweza kuwekeza katika mapambo ya kipekee ya profaili. Mnada ni fursa nzuri ya ku...

Duka

Duka la Cryptomania linafanyaje kazi na ninaweza kununua nini huko?

Duka la Cryptomania ni sehemu ambayo unaweza kutumia pesa zako za mtandaoni kiuhalisia. Unaweza ...

Akaunti ya Premium

Faida za akaunti ya Premium ni zipi?

Hakuna matangazo Kiwango kinachoongezeka cha oda zilizo wazi Idadi kubwa ya chaguzi za leverage  

Pesa za kutumia

Nini maana ya pesa za kutumia?

Kama tu ilivyo kwenye mchezo wa Monopoly, kwenye Cryptomania pesa ya kucheza ni rasilimali ya kaw...

Ninatoaje pesa za kutumia?

Cryptomania ni programu. Hauwezi kutoa au kuweka pesa za kutumia kwa sababu siyo pesa halisi. Pes...

Ninatumiaje pesa za matumizi?

Unaweza kutumia mali zako ndani ya app kuwekeza katika mali isiyohamishika duniani kote kupitia I...

Ninaweza kuuza na kununua sarafu mtandaoni kwa pesa halisi?

Ikiwa uko tayari kuhamia kutoka kwa biashara ya majaribio kwenda kwa mchezo halisi, unaweza kuanz...

Taarifa na usalama wa akaunti

Ninajisajili vipi?

Unaweza kujisajili kupitia Google au kwa kutumia barua pepe. Unapojisajili kwa mara ya kwanza un...

Ninaweza kutengeneza akaunti ngapi?

Unaweza kutengeneza akaunti nyingi kadri utakavyo.

Ninawezaje kubadili neno la siri kwenye akaunti yangu ya Cryptomania?

Fuata hatua hizi ili kubadili neno lako la siri: Fungua app. Bonyeza "Nimesahau neno la siri" kw...

Ninafutaje akaunti yangu?

Ili kufuta akaunti yako, tafadhali wasiliana nasi kupitia: edusystemshelp@gmail.com.

Maswali Yanayoulizwa Sana

Ni bonasi gani ninazoweza kuzipata?

Bonasi ya ukaribisho Bonasi ya usajili Bonasi za kila siku. Ingia kwenye mtandao kila siku na bo...

Ninapataje bonasi ya mualiko?

Je, unajua kwamba Cryptomania ina programu ya rufaa yenye zawadi ambapo wewe na marafiki zako mna...

Ninaondoaje matangazo?

Ikiwa unataka kuzima matangazo, badili kwa akaunti ya Premium.

Ninawezaje kurudishiwa pesa?

Unaweza kusoma muongozo wa kina wa namna ya kurudishiwa pesa hapa.